Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani
Karibuni wateja katika mradi wetu mpya uliopo kiluvya makurunge mwisho wa bajaji
Viwanja vipo sehem nzuri sana
Viwanja vimeanzia barabaran
Bei kuanzia mil 6 mpaka mil 8
Nb: sio lazima ulipe cash waweza lipa nusu na nusu inayobakia ukalipia taratibu