Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani


๐ HAPA NI MOJA YA SITE YA MTEJA WETU AMBAE AMEKUA NA MGOGORO WA MIPAKA WA KIWANJA CHAKE
๐๐พHii Ni Moja Ya Migogoro Imekua Ikijitokeza Sana Kwenye Viwanja Vingi Na Hii Mara Nyingi Utokana Na Upoteaji/Uhamishwaji Wa Alama Za Mipaka (Beacons) Na Wamiliki Wa Viwanja,
๐๐พ Hii Uwa Inajitokeza Kwa Wamiliki Husika Kwa Kujua Au Kutojua Kama Mipaka Husika Kama Ipo Sehemu Sahihi Au Sio Sahihi Ivo Kuhamisha Beacons Au Kuzingโoa Na Kuzitupa (Ambapo Ili Ni Kosa Kisheria)
๐๐พ Ivo Njia Sahihi Ya Kutatua Mgogoro Huu Ni Kushirikisha Wataalamu Wa Upimaji Ambao Wanapatikana Hapa Kwetu surveyor_aloyce Ambao Watatumia Taratibu Za Kitaalamu Kuweza Kutatua Mgogoro Huo Kwa Kurudishia Mipaka
๐๐พ Ambapo Wamiliki Husika Wa Maeneo Watapaswa Wawe Na Ramani Za Viwanja Husika, Pamoja Na Taarifa Zinazoonyesha Wao Ni Wamiliki Husika Wa Ayo Maeneo, Ivo Kupitia Izo Ramani Wataalamu Wataweza Rudishia Mipaka Kwa Kutumia Vifaa Vya Upimaji
๐ฅ๐ฅ๐ฅ Kikubwa Zaidi Tuna Mradi Mpya Wa Viwanja Kutoka surveyor_aloyce Wa Bei Rahisi Pale Kiluvya-Makurunge Ambapo Unapata Kiwanja Kuanzia 2,000,000/=, Changamkia Fursa Hii Isikupite, Call 0713778937
Kwa Furniture Nzuri Follow aloyce_furnitures
Kwa Ramani Na Ujenzi Follow aloyce_builders
#luxury #realator #luxuryrealestate #interior #homedesign #homesweethome #housegoals #realestateagent #luxurylifestyle #newhome #luxuryhome #househunting #property #housedesign #dreamhome #forsale #luxuryhouse #newconstruction #decor
#upimajiardhi #viwanja #viwanjatz #viwanjakigamboni #viwanjadodoma #viwanjakibaha #hatimiliki #surveylife #landsurveyorlife #surveying #surveyors