Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani


Kama unafikiria kuwekeza kwenye Viwanja,JIBU namba moja unatakiwa kuanza kuwafikiria Cananland Marketing Solutions.
Hawa jamaa ni wauzaji wa Viwanja Bora vyenye ubora mkubwa kuanzia miundombinu ya Barabara za ndani ya mradi,upana wa barabara,Ukubwa wa Viwanja lakini pia miradi Yao mingi inakuwa approved.
Miradi ikiwa approved maana yake ni mteja anayenunua Kiwanja katika hii Kampuni,anakuwa na uhakika wa Kupata Hati Miliki.
Kubwa zaidi Cananland wanapokea malipo kidogo kidogo bila Riba Wala Dhamana.
Ukiwa na shilingi 1,000,000/= tu unaweza kuanza Safari yako ya kumiliki Kiwanja na Cananland.
Miradi Yao IPO maeneo mazuri,yanafikika na huduma za kijamii zote zinapatikana
1. Kiluvya Makurunge Kwa Masister wanauza 11,500/m²
2. Kiluvya Mwanakondoo 10,000/m²
3. Picha ya Ndege 15,000/m²
4. Kwa Mathias 14,000/m²
5. Misugusugu 8500/m²
6. Boko Timiza 9500/m²
Ofisini: Kiluvya Madukani
0659 972 868
0763 172 814