Viwanja vinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KARIBU NA BARABARA KINAUZWA
BEI MILIONI 30 MAONGEZI YAPO KIDOGO
UKUBWA WA KIWANJA NI 17 KWA 30 VIPO VIWANJA VIWILI UKITAKA VYOTE PIA TUNAWEZA KUKAA MEZANI TUKAKUVUNJIA ZAIDI
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA BONYOKWA STAND DK 5 KUTOKA KITUONI
NA BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI SITE
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI
KIWANJA KIMEZUNGUSHIWA FENCE KABISAA
SEVCHAGE 250,00 KWENDA KUONA SAITY
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347