Viwanja vinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam


Mradi upo Kimbiji, Puna kwa Mwalami.
Ukitokea ferry unapanda magari ya kimbiji, kituo kinaitwa kwa mwalami, mradi upo upande wa kushoto wa barabara, km 1 kutoka baharini.
Mradi upo Mita/hatua 10 tu kutoka kituoni/barabara kuu (walking distance). Huduma zote za kijamii zipo na viwanja vina view ya bahari.
BEI
Kwa cash sqm 1 ni sh. 12,000/= (mwisho miezi 2)
Kwa plot (cash = Million 6)
Kwa mkopo sqm 1 ni sh 15,000/= (Malipo ndani ya miezi 6)
Kwa plot (mkopo = Million 8)
Malipo ya awali ni 40%.
Rejesho la mwezi ni sh. 800,000/=
Contacts:
0747 081 270 au 0678 381 270
Office:
Makumbusho, derm house, floor no 7 - EPL
(Jengo la Access Bank)
Instagram/Facebook/Twitter/Tiktok: epl_property