Viwanja vinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam
HAUTALIPA TENA 20% KAMA MALIPO YA AWALI
Habari njema kwa wateja wetu , Mradi wetu wa Kimbiji tumetoa 20% kama malipo ya awali .
Mteja ambae atanunua kiwanja kuanzia sqm 400- 599 atalipia 300, 000Tshs kila mwezi
Na mteja atakae nunua kiwanja kuanzia sqm 600-799 atalipia 400, 000 Tshs kila mwezi
Malipo haya yatafanyika ndani ya miezi 12 , lengo kila mmoja apate kiwanja na unapomaliza malipo tunakupatia hati miliki bure ndani ya mwezi mmoja karibuni sana lapexproperties
Site visit ni Jumatano na Jumamosi
#viwanja #ardhi #mashamba #lapexproperties