Viwanja vinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam
📍SQM 600 ZIKO SOLD OUT 📌🥰😘🙏🏻
📍KIMEBAKI KIWANJA KIMOJA CHA SQM 451 NA VIWANJA 10 VYA SQM 704
UTARATIBU WA MALIPO YA SQM 451
Cash : 3,157,000
Installment ya miezi 6 : ANZA NA 500,000 na ULIPE KIASI KINACHOBAKI NDANI YA MIEZI 6
Installment ya miezi 12: ANZA NA 270,000 na ULIPE 270,000 KILA MWEZI KWA MIEZI 12
📍UTARATIBU WA MALIPO YA SQM 704
Cash : 4,928,000
Installment ya miezi 6 : ANZA NA MILIONI 1, NA ULIPE KIASI KINACHOBAKI NDANI YA MIEZI 6
Installment ya miezi 12: ANZA NA 410,000 na ULIPE 410,000 KILA MWEZI KWA MIEZI 12
✅HATI MILIKI NI BURE
SIFA ZA MRADI
📌MRADI UPO UMBALI WA 38Km KUTOKA FERRY
📌MRADI UPO 4KM KUTOKA MAIN ROAD YA KIMBIJI
📌MRADI UPO KITUO KIMOJA KABLA YA KWA MORRIS, KITUO KINAITWA BOHARI KAMA UKIENDA KWA DALADALA
📌HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO UMBALI WA KILOMITA MOJA KUTOKA ENEO LA MRADI
📌VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA KUTHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA
📌VIWANJA VIKO JUU NA HAVINA ASILI YA KUJAA MAJI
📌BARABARA NI MITA 20 kwa MITA 10
🚖SITE VISIT NI KILA JUMAMOSI
☎️0659540265/ 0718354943
📍Office zetu ziko jengo la IPS, gorofa ya 5, Posta Mpya