Viwanja vinauzwa Kimbiji, Dar Es Salaam
Hello Wateja wetu...!
Huu ni Mradi mpya upo KIMBIJI KWA MORRIS
2.5 km kutoka barabarani, Iendayo Buyuni
Mradi umepimwa ramani yake iko Approved
Huduma za kijamii zote zipo
Viwanja vinaanzia Sqm 668 na kuendelea.
Unapata kwa 8,000 per sqm malipo ya cash
10,000 per sqm malipo ya Installments hadi miezi 6.
Tupigie simu: 0782 763 203
Au fika ofisini kwetu Mwenge Bamaga. Dora tower, ghorofa ya 4.