Viwanja vinauzwa Lugoba, Pwani


Luxury houses
inahitaji viwanja vikubwa zaid na nje kidogo ya mji ndo unapata viwanja vikubwa kwa bei nafuu.
Karibu chalinze viwanja ni 2500/= tuu kwa sqm. Kiwanja cha sqm 1200 kwa 3,000,000/= tuu na unaweza kulipa kwa mkupuo au kidogo kidogo. Yaani 150,000/=kwa mwezi kwa miezi 20.
Viwanja viko 1.5km kutoka kwenye barabara kubwa ya lami. Huduma ya maji ipo kwenye mradi, umeme pia unapatikana
Kila jumamosi tunatembelea mradi wa viwanja lugoba.
Fika ofisini tunapatikana Sinza makaburini opposite na vickies shoes
Tupigie simu sasa
☎ +255683273159
Ujanja ni kumiliki ardhi.