Viwanja vinauzwa Lugoba, Pwani


MRadi wetu wa Viwanja Lugoba Chalinze umepakana na bomba kubwa la dawasa maji yapo karibu
☘️Sqm 1 tsh 2500
☘️Tunaanzia kupima Sqm 500 na kuendelea
☘️Lipa 62,500 kila mwezi ndani ya miezi 20
☘️kutoka barabara kuu km 1.5
☘️huduma za kijamii zipo
☘️hati unapata bure kutoka wizara ya ardhi bila kuchangia gharama zozote
Safari ya kwenda site itakuwepo jumamosi hii
Booking 0627004775
#maryrealestate