Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Mradi huu wa madale (nguzo) upo kilomita 1 tu kutoka barabarani na pia mradi umezungukwa na huduma zote za kijamii. 
Viwanja vinauzwa 55,000/- tu kwa SQM, lakini pia unaweza kulipa kwa awamu (kidogo kidogo) ndani ya miezi 3 na kuweza kumiliki kiwanja chako
Viwanja vyote katika mradi huu vimepimwa.
Huu ndio wakati wako wa kumiliki kiwanja na kujenga nyumba za ndoto yako😊🔥
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)
Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126
#viwanjamadale
#viwanjadar 
#viwanjavilivyopimwa 
#viwanjakigamboni 
#viwanjakibaha 
#viwanja




















