Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND .NJOO NA LAKI MBILI NA KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI SITA . MBAGALA MBANDE MIPEKO
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
_____________________
SITE ZIPO NYINGI ZENYE OFA NI MBILI
Site ya kwanza ni site ya milioni moja na laki tatu anza na laki mbili kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi sita
Site ya pili ni ya sh milioni moja na laki tano anza na laki tatu kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitano
Ukubwa ni fut 50 kwa 40 pia unaweza kuunganisha hata sita
Umeme upo na maji ya DAWASA yapo fika ujionee mwenyewe.
Viwanja unavyoviona kwenye picha ndivyo vilivyo ni tambarale safi kabisa na wala siyo vile vya kujaa maji
Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 500 hadi saiti
____________________________________
Ukubwa wa kiwanja na Bei zake
Futi 50 kwa 40 =million 1,000,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,200,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,300,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,500,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 1,600,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 1,800,000/=
Futi 50 kwa 40 =million 2,000,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 2,200,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 2,500,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 3,000,000/=
KWA MITA KUNA
SQM 180
SQM 360
SQM 540
SQM 720
SQM 1080 ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Balabala✓
Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.
Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja
Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%
_____________________