Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma


WEKEZA KITUO CHA MAFUTA HAPA, KIWANJA CHA KWANZA KWENYE BARABARA YA MZUNGUKO(RING ROAD)
Sifa za viwanja
✅Kiwanja ni cha petrol station
✅Kiwanja kina hati
✅Ukubwa 13,000 Sqm
✅Kiwanja kipo kwenye barabara ya mzunguko inayounganisha Arusha road na Dar es salam Road kuelekea bandari kavu
✅ Kipo katikati ya International airport na Magufuli City
✅ Vipo kilomita 10 kutoka Dodoma mjini
✅Panafaa kwa uwekezaji
✅Huduma za kijamii kama Maji na umeme yapo
✅Barabara ipo kwenye ujenzi wa kiwango cha Lami
✅Bei ni Milion 200
Changamkia fursa hii, usafiri wa kwenda na kurudi site ni bure kabisa. Tembelea ofisi zetu zilizopo karibu na Chama cha Biblia au piga simu 0767 865 054 au 0655 591 155