Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma


OFA YETU BADO INAENDELEA. BEI NI MILIONI 1.3.
0742 909 861
 Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI, Karibu Sana na MBAGALA RANGI 3.
 Ni Viwanja vizuri na mji uliopangiliwa kisasa kabisa, viwanja ni tambarale, vikiwa vimezungukwa na huduma muhimu kama Maji,umeme na shule binafsi na shule za Serikali, Hospitali na Usafiri wa bajaji n.k
 Ni KM 3 tokea KISEMVULE STAND ( Usafiri wa Bajaji Mia Saba na Pikipiki Elfu Moja Tu mpaka kwenye mradi wetu ).
 Ukubwa wa Viwanja ni Futi
Futi SQM 300 Milioni 1.3
Futi SQM 600 Milioni 2.6
Futi SQM 1200 Milioni 5.2 na kueendelea
Unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako.
Utaratibu wa kulipa kwa awam upo, unaweza kuanza na Laki Tisa Kisha inayobaki utapewa miezi 3.
Usafiri wa kufika Kutoka Kisemvule ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k
NB : Karibu kuona kwani Usafiri ni Bureee!.
Yaani Ushindwe wewe tu kujenga
Wote mnakaribishwa
" Ardhi ni Mali "
Piga 0742 909 861