Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
Utakuwa ni mtu wa maana kabisa endapo.....
●Utaweka malengo endelevu
●Utajipatia viwanja kwa bei ya punguzo
●Utawekeza katika ardhi iliyo bora.
HIVI WAJUA?
Kwa Tsh. 750,000/= tu itaondoa manyanyaso ya baba mwenye nyumba au wapangaji wenzako wakorofi kwa kujipatia Viwanja vizuri.......ambavyo utajenga nyumba yako ya kuishi hapa mjini?
Siri ya maisha ni kuamka mapema!.....Na huko kuamka mapema ni kuwahi viwanja vizuri sasa!
■Njoo na kianzio cha 500,000/= kwa kila kiwanja kimoja kisha itakayobaki utapewa miezi 2 ya kuimalizia bila riba.
Ukubwa wa viwanja ni Ft 40/50
Tupigie sasa ili kupata maelezo zaidi
+255747141871
#viwanjadar #viwanjanafuuzaidi #viwanjakigamboni #Viwanjanafuuu #viwanja