Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani
Hello Bosses 👋
Ile Phase lll ya Viwanja vya Mkuranga imeanza teeena kama ulikosa Phase l &ll usipange kuukosa na huu maana huu ni handsome mpaka #handsome tena 😍😅
Mradi huu upo Pwani ya Mkuranga,
Mkuranga ipo Mbele ya Mbagala
Mradi upo mbele ya Ofisi za halmashauri njia ya Kisiju
Bei ya kiwanja cha mita 15*14 ni laki 5 tu na hiyo laki 5 utailipa taratiibu kwa miezi 10 yaani elfu 50 kila Mwezi
Jumapili Kutakua na safari nyingine ya kuuona Mradi huu
Twende ukapaone ukiridhika njoo lipia
Andaa nauli elfu 7 kwenda na Kurudi
Ofisi zetu zipo Mwananyamala A Jengo la Vijana House
#0657907091