Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani
𝐌𝐊𝐔𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐔𝐌𝐄𝐊𝐔𝐂𝐇𝐀 🔥
Pichani nk Baadhi ya wadau walojitokeza Kuona Mradi Jumapili ya wiki iliyopita...
Viwanja vinaanzia laki 5 tu na hiyo laki 5 utalipa elfu 50 kila Mwezi kwa miezi 10
Vya laki 5 si vingi, vipo vya laki 6 utalipa elfu 60 kwa mwezi, laki 7 utalipa elfu 70 kwa Mwezi, laki 8 utalipa elfu 80 kwa mwezi, laki 9 italipa elfu 90 kila mwezi, 1M utalipa 100k Kila mwezi
Bei ikiongezeka na ukubwa wa kiwanja unaongezeka,
Kiwanja cha laki 5 kina mita 15*14 sqm 210
Mradi upo Mkuranga Mbele ya Ofisi za halmashauri panaitwa Mbezi (Njia ya Kwenda Boza Beach)
Safari itakuepo Pia weekend ya wiki Ijayo
Kwa Raman na Maelezo Zaidi #0657907091