Viwanja vinauzwa Njia Panda, Kilimanjaro


Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa Hapa! Mita kadhaa Toka Njia-panda ya kwenda Kwa Masister... Vipo viwanja safi kabisa na unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi Minne Tu.
Fika kagua,Anza ujenzi tutakukopesha tofali, cement na Nondo!
20,000/= Kwa square meter! Viwanja vipo vichache sana! Yaani 776m²,800m²,589m² na 1600m². Kupata bei unazidisha Kwa hiyo bei hapo Kisha utaona bei ya Kiwanja mfano
800m² x 20,000= 16,000,000/=
Unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi Minne. Unatanguliza 50%
Kazi kwako!
Shindwa wewe kujenga
Mawasiliano
0659 972 868