Viwanja vinauzwa Sofu, Pwani


Sofu unapata Kiwanja cha kupewa control number ulipie Kodi ya Serikali Kisha upate Hati baada ya miezi mitatu! Hati ya Wizara ya Ardhi.
Maana yake nini?
Viwanja hapa SOFU tayari vimeshapata approval maana yake Kila Kiwanja Kina plot No. Ambayo inatambulika Wizara ya Ardhi!
Hapa viwanja vyote ni super Medium Density! Unajua maana yake???
Medium Density maana yake ni viwanja vya ukubwa size ya kati! Yaani kuanzia square meter 450(m²) kwenda square meter 1200(m²)
Bei Kwa square meter ni 15,000/= Hii ni bei nzuri sana ukilinganisha na potential ya Eneo mahali lilipo! Hapa SOFU Kuna Mandhari nzuri,Kumejengwa nyumba za kisasa,Kuna Chuo ambacho kinafungua Fursa Kwa wale wawekezaji wa kwenye apartments, Hospital na shule.
Viwanja vipo pembeni mwa Barabara kubwa Iendayo picha ya Ndege Mjini.( SOFU ROAD)
Kama unatokea Boko Timiza au Mnemela Njiapanda ya Sofu kufika hapa ni Km1 tu! Kama unatokea Picha ya Ndege Kuja hapa ni km4 tu.
Kianzio ili uanze safari ya kumiliki Kiwanja hapa ni shilingi za Kitanzania 1,000,000/=
Kiasi kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Mwaka mmoja bila Riba Wala Dhamana.
Kwa mawasiliano Zaidi
0659 972 868
0763 172 814
0697 148 322
0782 438 858