Viwanja vinauzwa Sofu, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 1,200,000,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

Sofu unapata Kiwanja cha kupewa control number ulipie Kisha upate Hati baada ya miezi mitatu! Hati ya Wizara ya Ardhi.

Maana yake nini?
Viwanja hapa SOFU tayari vimeshapata approval na Kila Kiwanja Kila plot No. Ambayo inatambulika Wizara ya Ardhi!

Hapa viwanja vyote ni super Medium Density! Unajua maana yake???
Medium Density maana yake ni viwanja vya ukubwa size ya kati! Yaani kuanzia square meter 450(m²) kwenda square meter 1200(m²)

Bei Kwa square meter ni 15,000/= Hii ni bei nzuri sana ukilinganisha na potential ya Eneo mahali lilipo! Hapa SOFU Kuna Mandhari nzuri,Kumejengwa nyumba za kisasa,Kuna Chuo ambacho kinafungua Fursa Kwa wale wawekezaji wa kwenye apartments, Hospital na shule.

Viwanja vipo pembeni mwa Barabara kubwa Iendayo picha ya Ndege Mjini.( SOFU ROAD)

Kama unatokea Boko Timiza au Mnemela Njiapanda ya Sofu kufika hapa ni Km1 tu! Kama unatokea Picha ya Ndege Kuja hapa ni km4 tu.

Kianzio ili uanze safari ya kumiliki Kiwanja hapa ni shilingi za Kitanzania 1,000,000/=

Kiasi kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Mwaka mmoja bila Riba Wala Dhamana.

Kwa mawasiliano Zaidi
0659 972 868
0763 172 814
0697 148 322
0782 438 858

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Sofu, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,000,000

Kama unaitaji Kiwanja kilichopimwa,Basi Jibu lako ni Remmys Brand na Cananland Marketing Solutions L...

Kiwanja kinauzwa Sofu, Pwani

Sh. 10,000,000

PLOT kubwa inauzwa ipo kibha sofu inaukubwa wa sqmt700Bei.milion 10na imepimwa Kabisa na umbaliToka ...

Viwanja vinauzwa Sofu, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,200,000,000

Sofu unapata Kiwanja cha kupewa control number ulipie Kodi ya Serikali Kisha upate Hati baada ya mie...

Viwanja vinauzwa Sofu, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,200,000,000

Sofu unapata Kiwanja cha kupewa control number ulipie Kisha upate Hati baada ya miezi mitatu! Hati y...

Viwanja vinauzwa Sofu, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,200,000,000

Sofu unapata Kiwanja cha kupewa control number ulipie Kisha upate Hati baada ya miezi mitatu! Hati y...