Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
📌Toroka uje huku Vikindu, Vianze, Mtaa wa Muungano.
📌Pata ofa ya viwanja vizuri kabisa mwanzo wa mwaka, miliki kiwanja chako Kwa mwaka 2025 wahi ofa hii kabla viwanja havijaisha🏃♀️🏃♀️🏃♀️
📌Kwa sasa Oweru International Ltd ina miradi 2 inayoendelea katika mji wa Vianzi, Mradi 1 ukiwa ni Tsh 900,000/= na wa 2 Tsh 700,000/=
🚕Viwanja vya Mradi wa 1 vinapatikana KILOMITA 5 tu kutoka Kilwa Road(VIKINDU); wakati Mradi wa 2 unapatikana km 6 kutokea Vikindu.
🌋Viwanja vina ukubwa wa futi 40 x 50
🚦Barabara ya kuelekea site inapitika 24/7
🛤️Kila kiwanja kimepitiwa na barabara
🏥🕋🏨Huduma zote za kijamii zimezingatiwa
💰 BEI Tsh 900,000= kwa 700,000/= tu💸
📲 Wasiliana nasi kwa namba ya simu
👉🏽0711890764
👉🏽0714859934
🚌 Daladala za kwenda mjini zipoo:
Kigamboni, kariakoo,mbagala,machinga complex,n.k...
*SIFA ZA VIWANJA VYETU*
🔍 Viwanja vipo tambarare
🔍 Viwanja vinatambulika na serikali za mtaa
🔍 Viwanja vimepangiliwa katika makazi bora ya mji (kila kiwanja kina barabara ya mtaa).
📌Usafiri upo bajaji 🛺 700 Boda 🏍1000 kutoka *VIKINDU* Hadi *VIANZI CENTER*.
**BEI ZA VIWANJA:900,000/=/ 700,000/=*
📌Unaruhusiwa kuunganisha viwanja kuendana na mahitaji yako ya ardhi.
☎️Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa 0711890764/ 0714859934
#oweruinternational #realseller #kigamboni #kibada #diamond#viwanjabeinafuu