Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani


KARIBU UPATE VIWANJA VIKINDU KM 3 TU KUTOKA BARABARA LA LAMI KWA BEI INAANZIA TSH 2,800,000
Viwanja vinapatikana VIKINDU KWA MTOPA, KABLA YA KUFIKA VIANZI MJINI
VIKINDU ipo mbele ya mbagala, mkoa wa PWANI
➡️Ukubwa wa viwanja
Sqm 200- futi 50/40 2,800,000
Sqm 400 futi 80/50-5,600,000
➡️Viwanja vimepimwa kwa mpangilio wa mipango miji na vina barabara kubwa za mitaa
➡️viwanja tambalale, vinatambulika kiserikali na vina hati
➡️viwanja vya makazi vinaanzia Tsh 2,800,000 kwa cash
➡️malipo ya installment, mteja ataanza na Tsh 1,500,000 tu iliyobaki utalipa kidogo kidogo kwa miezi 4
➡️viwanja havina udalali
➡️kutembelea site ni KILA SIKU YA WIKI KASORO SIKU YA JUMATATU TU HATUFUNGUI OFISI
➡️tupigie simu leo 0710855997/0752855996
Whatsapp 0769355987