Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 550,000
Project
Yes

πŸŽ‰ **OFA KABAMBE YA KUFUNGA MWAKA!*

Furahia mwisho wa mwaka kwa ofa isiyoweza kupingwa! Unapata kiwanja chako kwa LAKI TANO NA NUSU TU. (550,000/=) Fursa hii ni ya kipekee na haitakuja Kutokea!
πŸ“ž 0711677199/0744847199.

🌟VIWANJA VINAPATIKANA VIKINDU VIANZI CHANGANYIKENI 🌟 Unatafuta kiwanja cha kujenga nyumba yako au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! Tuna viwanja zaidi ya 300 Ushindwe wewe tu.

🏑SIFA ZA VIWANJA HIVI:
Vikindu Vianzi CHANGANYIKENI ni sehemu inayokua kwa haraka, na ni karibu na huduma zote muhimu za kijamii, Umeme upo jirani na mradi, maji yapo, huduma za afya, Shule ipo n.k

🌳 Ujenzi wake ni rahisi, Wakati wa Ujenzi huna haja ya kutafuta mchanga, eneo Lina mchanga mwingi sana. Tambarale, halituami maji hata kipindi cha mvua kubwa.

UKUBWA WA KIWANJA : Kila Kiwanja kina ukubwa wa Futi 50X40, Kwa Laki Tano na nusu tu. Unaweza kuunga idadi ya Viwanja utakavyo. Kuanzia viwili, vinne, sita hata mtaa mzima ni uwezo wako tu.

πŸ›£οΈ Na Viwanja vyote vimezungukwa na barabara za mtaa. Umbali kutoka Stendi ya Vikindu mpaka kwenye mradi wetu ni Km 8. Na usafiri wa bajaji upo muda wote.

πŸš€ Funga mwaka wako kwa mafanikio! Uwe mmiliki wa ardhi na uanze mwaka mpya ukiwa na malengo makubwa! πŸ₯³πŸ βœ¨ Jamani wateja wangu SIMU ZIITE 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 800,000

Inakuletea mradi mpya kabisa wa viwanja takriban 300 kwa ofa ya Tsh. (800,000) Ukubwa kuanzia futi ...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 900,000

OFAπŸ”₯OFAπŸ”₯OFAπŸ”₯ HII NI SITE MPYA WADAU WETU SITE HII INAPATIKANA VIKINDU VIANZI(MALELA) SHULE YA MSI...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Nyumba inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 65,000,000

Ipo vikindu vianzi ina uzwa tsh mil 65Ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master bedroom Ina stti...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 330,000,000

GOROFA LINAUZWA LIPO VIKINDU. WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI NYUMBA NI KARISANA IPO MTAA ULIONYOOO...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 330,000,000

NYUMBA NZURI SANA YA GHOROFA INAUZWA BINAFSI.LIPO VIKINDU WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI IPO MTAA ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 330,000,000

NYUMBA NZURI SANA YA GHOROFA INAUZWA BINAFSI.LIPO VIKINDU WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI IPO MTAA ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 29,000,000

NYUMBA INAUZWA NA MWENYEWE IPO VIKINDU KWA DIWAMBO NJIA YA VIANZI MWISHO WA LAMI. MITA 700. TOKA ROA...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 330,000,000

Ghorofa inauzwa ipo vikindu mkoa wa pawani wiraya ya mkuranga Ghorofa ya vyumba 5 vya Kulala masters...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 330,000,000

Ghorofa inauzwa ipo vikindu mkoa wa pawani wiraya ya mkuranga Ghorofa ya vyumba 5 vya Kulala masters...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 330,000,000

Ghorofa inauzwa ipo vikindu mkoa wa pawani wiraya ya mkuranga Ghorofa ya vyumba 5 vya Kulala masters...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 900,000

MRADI WA VIKINDU MALELA.BEI TSH 900,000/=UTAANZA NA LAKI SITA TU.TSH 600,000/=..CALL-WHATSAPP0654 77...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,000,000

Ukisikia hii mwambie mwenzako…Viwanja bei ni TSH 1,000,000 tu… umeme na maji vimefika site…Bei yake ...

Kiwanja kinauzwa Vikindu, Pwani

Sh. 16,000,000

βœ…EPUKA MASIMANGO YA WENYE NYUMBA NJO UJIFICHE βœ…HAPA NA FAMARIA YAKO ILIPO NYUMBA MPAKA STENDβœ…BAJAJI ...

Nyumba inapangishwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,500,000

OFA YA VIWANJA BADO INAENDELEA ....Changamkia ofa viwanja VIKINDU CHANG'OMBE ndugu mtanzania kwa bei...