Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F7f337a97-841f-408d-9cd3-5ad82c4ce145.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F7f337a97-841f-408d-9cd3-5ad82c4ce145.jpg&w=256&q=75)
![media -2 media -2](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F95ba60a9-b5a1-4464-972c-865fd20aec9c.jpg&w=256&q=75)
![media -3 media -3](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Faf91a21d-8373-40c0-a1e0-07826672a46c.jpg&w=256&q=75)
![media -4 media -4](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F334b9016-e15c-44ee-a15a-c88bc273022c.jpg&w=256&q=75)
![media -5 media -5](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fc195b9f9-7ce3-4769-adfe-99f3287e8c9e.jpg&w=256&q=75)
![media -6 media -6](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fdb757c0e-ce1e-4b2d-a681-633504843b7d.jpg&w=256&q=75)
Viwanja, Viwanja, Viwanja.
Timiza malengo yako ya kumiliki kiwanja mwaka 2025
Huu ndio mwaka wako ndugu mtanzania[TUNAKUSANUA].
ni mradi wetu wa viwanja wakibabe.
.
Kutoka kwa mabigwa na wabobezi wa hizi kazi, tena wasio na longo longo.
Chagile Real Estate
Mradi wetu wa viwanja vilivyopimwa upo VIKINDU VIANZI MJINI .
Uzuri ni kwamba mradi wetu upo karibu kabisa na barabara kubwa ya vianzi.
Mradi wetu upo umbali wa kilomita 3km tu kutoka Lami (Vikindu center)
Viwanja vyetu vinaanzia square 200, 400,600,800, ,600,800,1000 Nakuendelea.
Viwanja vyetu Viko karibu kabisa na huduma za kijamii kama vile SHULE, HOSPITALI, KITUO CHA POLISI.
Viko Tambarare havina mabonde.
.
Pia viwanja vimezungukwa na makazi ya kisasa.[ ushuwani kabisa].
.
Kumbuka bei ya viwanja vyetu msimu huu wa kufungua mwaka ni kuanzia 2.8 millioni tu
.
Utaratibu wa malipo msimu wa Ofa ya fungua mwaka ni kianzio 70% tu sawa 1.5m
Halafu kiasi kinachobakia utalipia mdogo mdogo ndani ya miezi 3 hadi 4
Na hapo utakuwa umekamilisha malipo ya kiwanja chako.[ changamka mtu wangu].
Miliki kiwanja chako leo. Tupigie simu namba
0654 77 39 67
Kwenye Facebook na Instagram tunapatikana kwa jina la moja tu
chagile Real Estate
Fungua mwaka kibabe mtu wangu , ukiwa umetimiza ndoto yako yakumiliki kiwanja.
Kumbuka
Fainali ni uzeeni mtu wangu.
Ushindwe ww tu kujenga.