Viwanja vinauzwa Visiga, Pwani
VISIGA - KIBAHA
Kutoka umbali wa 1km kutoka barabara kuu ya Morogoro hapo tuna mradi muri wa viwanja.
HAPO HAPO tupo jirani kabisa na mradi wa viwanja vya
NSSF tukiwa tumetenganishwa na barabara ya mtaa.
VIWANJA vinaanzia sqm 400 na kuendelea.
Bei ni mserereko:
Sqm 1 ni 8000 kwa malipo ya CASH.
Sqm 1 ni 10,000 kwa malipo ya awamu; Kwa muda wa miezi 6.
Wasiliana nasi; 0785582280
NB: Eneo lote limepandwa MITI YA MATUNDA!
Tutembelee: www.perfectproperty.co.tz
Fika ofisini kwetu Bamaga- Mwenge, Jengo la Dora, ghorofa ya 4.