Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Chama, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5m
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA #250K _ Chumba cha kulala Sebule Choo ndani (master) Jiko lenye kabati Inajitegemea umeme na maji _ Bei:250,000 Kwa mwezi × 6 _ Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni _ Ndani ya fence parking kubwa Service charge 20k ukilipia nyumba utamlipa dalali mwezi 1 PIGA SIMU 0789049684















