Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam









Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150K
Chumba master bedroom , Sebule na JIKO
Kodi 150,000 kwa mwezi × 6
Umeme inajitegemea ,maji pia Inajitegemea yanaflow choo
Ndani ya fence parking kubwa
Umbali km 2.5 usafiri bajaji
Kupelekwa kuona nyumba 15k
SIMU
0712656027















