Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Kwa Mangi, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1.7km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT KALI SANA MPYAAAAAA INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #180k.
MPYA MPYA !!!!
-Chumba kikubwa cha kulala
-Sebule kubwa sana na
-Choo ndani na
-Jiko kubwa ndani
UMEME UNAJITEGEMEA METER YAKO NA MAJI DAWASA YANAFLOO NDANI 24hrs
💰Kodi 180,000 kwa mwezi × 3
Umbali KM 1.7 usafiri boda boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=
PIGA SIMU#0625606710















