Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
2.5km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #120K
Chumba cha kulala sebule na choo ndani
Kodi 120,000 kwa mwezi × 3
Umeme matumizi yako , maji yanaflow chooni
Parking ipo
Umbali KM 2.5 Usafiri bodaboda
Kupelekwa kuona nyumba elfu 25
PIGA SIMU 0789O49684















