Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENTS MPYAAQQ ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
MASTER BEDROOM TU 100,000 Kwa mwezi ×3
Chumba master bedroom , Sebule
Kodi 150,000 kwa mwezi × 3
==
Umeme inajitegemea ,maji pia Inajitegemea yanaflow choo
Ndani ya fence parking kubwa
Umbali km 2 usafiri bajaji
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano
0679 997610
0747997630
Msigwa















