Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam

Kigamboni, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 180,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location darajani
Nyumba ina chumba kimoja master na jiko kali
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 180k TSH! Per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Umeme luku yako
Maji inajitegemea
Services Charge elfu ishilini
Mawasiliano
0628505896
0763954837















