Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kijichi Ccm, Dar Es Salaam
Kijichi, Dar Es Salaam
15 hours ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
📍KIJICHI CCM
APARTMENT INAPANGISHWA KODI 1
250k x 6
CHUMBA SEBULE MASTER JIKO
nyumba hipo ndani ya fence ya Kulala gari nyumba hipo karibu na stand.
hupatikanaji wa nyumba Mtoni Kijichi umekuwa ni mgumu sana hivyo ukiona post kama hii wahi mapema kuja kulipia mapema kabla hahijalipiwa.kama hupo mbali tuma kodi Kwa dalali Dalali Bura Kijichi
Kwa maelezo zaidi yaliyonyooka mpigie dalali Bura
☎️
#dalalimwanamke #dalalikinondoni #diaspora
#diamondplatnumz_trends #viralreels












