Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
7km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 06/05/2026 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO 📌SEBULE YA WASTANI 📌CHUMBA KIKUBWA 📌JIKO KUBWA 📌CHOO CHA NDANI #LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA LOCATION #KIMARA_KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI Kodi 300,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA Service Charge 20,000/= Kwa maelezo zaidi piga :- 0712528820 0685221354 Mr.















