Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
7min
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI WAPANGAJI 2 TU
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA CHA WASTANI
#CHOO CHA NDANI
#JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINIUM SLIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 5,6 PAMOJA NA PESA YA TAAZARI YA MWEZI MMOJA YA KULINDA NYUMBA
NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPAKA UPATE NYUMBA
......
......















