Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

Maelezo

🏡 APARTMENT YA KUPANGISHA – KIMARA KOROGWE 📍

Apartment itakuwa wazi tarehe 20 mwezi huu baada ya mpangaji wa sasa kuhama. Unaweza kuja kuiona na kufanya malipo mapema ili ku-reserve nyumba yako.

📍 Mahali: Kimara Korogwe
✨ Kisasa • Starehe • Usalama
🏠 Airbnb inaruhusiwa

🔑 VITU VILIVYOMO
🛏️ Chumba 1 cha Master – Self Contained
🛋️ Sebule kubwa yenye nafasi ya kutosha
🍽️ Jiko la kisasa lenye kabati zilizojengwa ndani

🎁 HUDUMA BURE
💧 Maji – BURE
🧹 Usafi – BURE
🛡️ Ulinzi – BURE

⚡ UMEME
💡 LUKU – Mpangaji anajilipia mwenyewe

💰 GHARAMA
🏠 Kodi: TZS 500,000 kwa mwezi
📅 Malipo: Miezi 3 mbele
💵 Dhamana: TZS 500,000 (Kodi ya mwezi 1)
📌
👀 Viewing: TZS 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba

O673189014 call/whatsapp number
#fyp#viral#fyp

Mussa Cleophace Kilibuche

dalali_mussa_ubungo_kimara_dar

@dalali_mussa_ubungo_kimara_dar

View Listings

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
Apartment inapangishwa Kimara Baruti, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rentapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent2 beds1 bathapartment
Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent4 beds1 bathapartment
Mussa Cleophace Kilibuche