Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 150,000/month

Maelezo

APARTMENT MPYAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI BODA BUKU TUU.

Chumba Master
Seble kubwa Sana
Na kibalaza chako
Slide window
Maji yana flow
Umeme Luku Yake mwenyewe
Nyumba ipo ndani ya fence
Parking space hakuna

Survey charge 30,000/= itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena

Kodi 150,000/=X"6 "

Malipo ya dalali ya mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba

Contact
What'sAp 0679 997610 call

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 180,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 180,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam

Sh. 650,000/month

For Rent4 beds3 bathsapartment