Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 250,000/month

Maelezo

(250,000X6)KIMARA TEMBONI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
______
APARTMENT NZURI SANA YA KIBACHELA INAPANGISHWA

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/07/2026 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA UNAWEZA KUGAWA IKAWA SEBULE
#PUBLIC TOILET
##AIR-CONDITION
#HEATER YA MAJI MOTO
HAKUNA JIKO
PARKING
GARDEN NZURI
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

BEI NI 250,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
_________
CONTACT US:
0662715781
0790480030

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent1 bed2 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment
Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

For Rent3 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

For Rent3 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

For Rent3 beds3 bathsapartment
Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment