Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam





Huduma na Sifa
Maelezo
——
APARTMENT INAPANGISHWA
– KIMARA TEMBONI DAKIKA 12 KWA MIGUU
✅ Chumba kimoja Master Bedroom kikubwa na kizuri sana
✅ Huduma muhimu zinapatikana kwa urahisi
✅ Mazingira tulivu kwa makazi
💰 Kodi: Tsh 150,000 X miezi 6 bila kusahau 100000 ya tahadhari
🏠 kuona nyumba: Tsh 15,000
📝 Dalali kodi ya mwezi mmoja pindi utakapolipia nyumba.
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo
##0688617926
##0655256419















