Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kisota, Dar Es Salaam
Kisota, Dar es Salaam
15 hours ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kisota
Nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko mpya
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 300k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano















