Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach Massana, Dar Es Salaam
Mbezi, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
๐งLocation ::MBEZI BEACH MASSANA
๐งBei :: 400,000 kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
๐Chumba kimoja ambacho ni Masta
๐Sebule Kubwa
๐Choo cha Public
๐Jiko Kubwa
๐Fence
๐Feni
๐Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;















