Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 220,000/month

Maelezo

APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
📍 Location: Mbezi Mwisho – Msakuzi Center
Bajaji 1000 pikipki 2000
✨ Nyumba mpya kabisa zenye mazingira safi na tulivu.
🔹 Aina ya Kwanza: ✅ Chumba, Sebule,choo na Jiko linafugwa makabati 💰 Kodi: TZS 220,000 kwa mwezi x4

🌟 Sifa za Nyumba: ✔️ Nyumba mpya kabisa ✔️ Compound yenye nyumba 6 tu ✔️ Paving Blocks ✔️ Mazingira safi na salama ✔️ Umeme wa LUKU (Meter yake binafsi) ✔️ Maji ya Kisima na DAWASA yanapatikana mda wote
📞 Kwenda kuona nyumba 20k
NB: Agent atalipwa kodi ya mwezi mmoja pindi mpangaji atakapolipia nyumba
simu 0786085637 au 0659336751

Matangazo mengine Mbezi, Dar Es Salaam

Apartment (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

$ 2,000/month

For Rent3 beds4 bathsFurnishedapartment