Tafuta
-
-

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi G7, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 120,000 per day

Aina

Apartment

Vyumba

1

Huduma na Sifa

AirBnb
Fully A/ C

Maelezo

“Unatafuta sehemu safi,tulivu na yenye hadhi?
Karibu 📍Tabata kinyerezi G7 upate pumziko la moyo

Apartments zetu ziko safi na utulivu wa Hali ya juu
Hapa unapata 🏠Chumba master na jiko lake Fully A/C

Kwa Siku Lak 120,000
Unapata Vyumba Vya Kisasa,mazingira ya utulivu na huduma ya kiwango cha 5 star perfect kwa mapumziko,kazi au couple stay

For Booking
☎️:+255 06595O7709