Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam


Tabata, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 200,000/month
Maelezo
Chumba master, sebule na jiko bei 200000 kodi kuanzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, parking ipo, paving block, ndani ya fence kuna apartment 4 tu, kutoka kituoni bidaboda sh 1000, Location ya tabata kinyerezi kibaga dar es salaam
Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service charge 20000
Au malipo ya dalali















