Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga Zabika, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 250,000/month

Maelezo

Chumba master, sebule na jiko inapangishwa bei 250000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, parking ipo, reserve water tank, hapa ndani ya fance kuna apartment 4 tu, kutoka kituini dakika 4 hivi kwa mguu. Hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi kibaga zabika dar es salaam

Calld/whatsapp au

Service charge tsh 20000
Au malipo ya dalali

Dalali wa viwanja, nyumba, fremu na gari used

dalali_viwanja_nyumba_dar_

@dalali_viwanja_nyumba_dar_

View Listings

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam

Dalali wa viwanja, nyumba, fremu na gari used