Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Apartimenty Inapangishwa Ipo temboni mkono wakushoto kama hunaelekea mbezi
Dk 5 kutembea kwamguu
Apartimenty hii Inasifa zifuatazo
Chumba kikubwa sebule kubwa jiko open kitchen na pablick toilety pia Inakibaraza kizuri sana
Inatiles gyupsam aluminium
Inajitegemea umeme maji
Ndani ya fensi wapangaji watano
Full peving block
Kodi 300x6
Kuona nyumba elfu 20 Itadumu mpaka unapata nyumba
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Call
0713661530_0783661530















