Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
Apartimenty mpyaa kali sana Inapangishwa Ipo temboni kushoto kama unaelekea mbzi
Umbali km/ 1
Usafiri boda mpaka getini au bajaji 700 ukishuka unatembea dk 4
Muundo wanyumba
Sebule. Chumba.jiko. choo pablick toilet Inabaraza mbele na nyuma
Inatiles gupsam aluminium
Inajitegemea umeme na maji
Ipo ndani ya fensi full peving zitawekwa
Kodi 350x6
Nyumba zitakua tayari tar.1. June. Kuona kulipia ruksa
Kuona nyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Piga sim 0684561351















