Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk5 kutoka main road
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule
Jiko ( Open kitchen)
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full a/c
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci
Kodi 400,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.















