Nyumba (Furnished) ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
Kimara, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 100,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1.8km
Samani
Ndiyo
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master kali mmno
Full farn taa za ulembo madilisha kiooo
Kod 100000 x6
Umeme shea wa3 kila mmoja na submeter yake
Nyumba ipo kimara mwisho km1.8 tuu usafili bajaji boda daladala uhakika muda wote
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano
WSP















