Nyumba/Apartment (Furnished) ya chumba kimoja inapangishwa Makongo Changanyikeni, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
*NEW APARTMENTS At MAKONGO CHANGANYIKENI*📍
📍Master bedroom and kitchen
📍Kodi,maji na taka kwa mwezi 310,000/= Tzs
📍Unalipia kuanzia miezi 3
📍security deposit 100,000 /= *(hii utarudishiwa siku utakayohama kama endapo hujaharibu nyumba na vitu vilivyomo)*
📍*Unajitegemea umeme,hulipii bill ya maji*
📍Ipo ndani ya fence, parking, unakuta kitanda, godoro, kabati,meza ,kiti
📍*Ruksa kuja na vitu vyako na vilivyopo vinatolewa au kuomba vibaki unavyoona vinakufaa*
📍Dk 3 kwa kutembea kuelekea kituo cha bajaji/bodaboda
📍Nb: Brokerage services fees
📍Kwenda kuona 15,000/= Tzs
📍Ukilipia nyumba ya udalali bei sawa na mwezi mmoja *(lakini natoa punguzo la 20% kwenye malipo ya dalali)*
📞 0672616197 Agent Moga#dalali#dalalimakongo















