Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Fuoni Mambosasa, Zanzibar - Unguja South
Zanzibar, Zanzibar
2 hours ago
Sh. 70,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
7m
Huduma na Sifa
Maelezo
CHUMBA SINGLE FUONI MAMBOSASA
#unguja #zanzibar
Bei Tsh 70,000/- Elfu sabini kwa Mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
Nyumba ina wapangaji wa 3
Fensi
Maji
Choo utashea na mpangaji 1
Mwendo wa dakika 7 mpaka barabarani kwa kutembea kwa miguu bila kutumia chombo chochots
Nyumba wanaishi wapangaji tu, mwenye nyumba mnakutana kwenye kodi na changamoto zitakazo muhusu
What’s App/Call 0653007438
#mtegemechanduguhufamaskini
#wahadhizote
#familiabei














